HOT PHOTOS: DK CHENI's BIRTHDAY PARTY
0
Msanii wa filamu, Lulu, akichukua chakula. Mke wa Dk Cheni (katikati) akiwa na ndugu, jamaa na watoto wake wawili. Mwigizaji Vincent Kigosi ‘’Ray’’ akitoa zawadi kwa Dk Cheni. Steven Nyerere akibadilishana mawazo na Mrisho Mpoto wakati wa futari. Wasanii Keisha na Chuchu Hans wakiteta jambo. Wasanii, Dayana, Esher, Wastara wakiwa na mdau wa sanaa ambaye jina lake halikupatikana. Dk Cheni, na ‘crew’ yake, wasanii na waandishi wa habari. Mwigizaji wa sinama Jacob Steven ‘JB’ akiwa na mashabiki wake. Hawa ni wasanii wa kundi la Makomandoo. Emmanuel Mbasha pia alikuwepo kwenye sherehe hiyo. Msanii wa filamu, Shamsa Ford, akiwa kwenye pozi kwenye hafla hiyo. Mwandishi wa Global Publishers, Shakoor Jongo, akiwa na Dk Cheni. Pembeni ni shabiki mmoja wa wageni waalikwa.
Mwigizaji filamu, Lulu, na Cheni wakiwa katika pozi.
Gabriel Ng’osha WASANII kibao
wamejitokeza kumsapoti msanii ambaye pia ni mshereheshaji (MC) wa kundi
la watanashati, Dk Cheni katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Sherehe hiyo ya kuzaliwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ngorongoro
uliopo hoteli ya Lamada, Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo wasanii
mbalimbali na wadau wote walipata futari.
Na Musa Mateja, Shani Ramadhani na Shakoor Jongo/GPL