Picha 38 za kilichotokea kwenye Kili Tour Songea.
0
Hizi
ni picha nyingine za tamasha la Kili Music Tour ambalo kwa mara ya
kwanza limefanyika Songea siku ya Jumapili June 15 na kuwashirikisha
mastaa wa muziki wa Tanzania kama Mwasiti, Shilole, Profesa Jay, Ommy
Dimpoz, Diamond alieambatana na mpenzi wake Wema Sepetu, Khadija Kopa,
Ben Pol na wengine wengi.
Picha zote hizi zimepigwa na ripota wa nguvu, asante sana @Tanganyikan