NOMA SANA: MASKINI MREMBO AMBER ROSE, AAMBULIA MAKAVU LIVE BAADA YA KUMSIFIA MUMEWE...!

0
Amber Rose ametumia ukurasa wake wa Instagram kutupia picha ya mume wake Wiz Khalifa na kummwagia sifa kwa kumuita 'Sexiest Man on Earth' kitu kilichozua balaa baada ya mashabiki kumshukia na kumpa makavu kuwa kumuita Wiz Sexiest man ni kama kuwatusi wanaume kamaTrey Songz! 
 
Baada ya ku-post picha na kufunguka hayo hiki ndicho Amber alichoambulia kutoka kwa mashabiki..

0 comments:

Tafadhali LIKE page yetu Upate habari mpya kwenye Facebook yako.BOFYA LIKE

Powered By Kandili Yetu Team