BIG SOO: PICHA TATA ZA MSANII RECHO ZASABABISHA APEWE MAKAVU LIVE MTANDAONI...!
0
HIVI NI KWAMBA MASTAA WAKIHISI KUWA HAWAONGELEWI NJIA PEKEE YA KURUDISHA UMAARUFU NI KUTUPIA PICHA ZISIZOKUWA NA MAADILI MTANDAONI?
MSANII RECHO AMEWEKA PICHA AMBAZO KIUKWELI HAZINA MAADILI KWANI ZINAACHA SEHEMU KUBWA YA MWILI WAKE UKIWA HAUJAFUNIKWA KABISA, PICHA HIZO AMBAZO MAPAJA YOTE YAKO NJE ZIMEPONDWA SANA NA MASHABIKI AMBAO WAMEONYESHA KUTOKUBALIANA NAZO KABISA PICHA HIZO...!!