Picha za behind the scenes za video ya One Campaign waliyomo AY, Diamond, D’Banj na wengine ndani...
0
Diamond akiwa na Victoria Kimani |
Video ya wimbo wa pamoja ya wasanii zaidi ya 20 wa Afrika, imefanyika
jana jijini Johannesburg, Afrika Kusini, kwenye studio za M1
zinazomilikiwa na shirika la SABC. Katika wimbo huo ambao unasimamiwa na
One Campaign kupitia mradi wake mpya wa ‘Go Agric’, Tanzania
inawakilishwa na AY na Diamond...
Wasanii hao wakiwa studio kushoot video hiyo Wasanii wengine kwenye mradi huo ni pamoja na D’Banj na Femi Kuti wa Nigeria, Victoria Kimani wa Kenya na wengine. |
Victoria Kimani |