HOT PHOTOS: DK CHENI's BIRTHDAY PARTY

0
Keki yenye kuonyesha kazi azifanyazo Dk Cheni.
Mwanamuziki Prof. Jay akilishwa keki na Dk Cheni kwa niaba ya wasanii wa Hip Hop.
Mdau wa sanaa, Mama Lolaa akilishwa keki  na Dk Cheni.
Dk Cheni akimlisha keki mtoto wake.
Msanii wa vichekesho  Hemedi Maliyaga  ‘Mkwere’ akiimbisha wimbo wa ‘Happy Birth Day’.
Msanii wa filamu, Lulu,  akichukua chakula. Mke wa Dk Cheni (katikati) akiwa na ndugu, jamaa na watoto wake wawili. Mwigizaji Vincent Kigosi ‘’Ray’’ akitoa zawadi kwa Dk Cheni. Steven Nyerere akibadilishana mawazo na Mrisho Mpoto wakati wa futari. Wasanii Keisha na Chuchu Hans wakiteta jambo. Wasanii, Dayana, Esher, Wastara  wakiwa na mdau wa sanaa ambaye jina lake halikupatikana. Dk Cheni, na ‘crew’ yake, wasanii na waandishi wa habari. Mwigizaji  wa sinama Jacob Steven ‘JB’ akiwa na mashabiki wake. Hawa ni wasanii wa kundi la Makomandoo. Emmanuel Mbasha pia alikuwepo kwenye sherehe hiyo. Msanii wa filamu,  Shamsa Ford, akiwa kwenye pozi kwenye hafla hiyo. Mwandishi wa Global Publishers, Shakoor Jongo, akiwa na Dk Cheni.  Pembeni ni shabiki mmoja wa wageni waalikwa. Mwigizaji filamu, Lulu, na Cheni wakiwa katika pozi.
Gabriel Ng’osha WASANII kibao wamejitokeza kumsapoti msanii ambaye pia ni mshereheshaji (MC) wa kundi la watanashati, Dk Cheni katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Sherehe hiyo ya kuzaliwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ngorongoro uliopo hoteli  ya Lamada, Ilala jijini Dar es Salaam, ambapo wasanii mbalimbali na wadau wote walipata futari.
Na Musa Mateja, Shani Ramadhani na Shakoor Jongo/GPL

0 comments:

Tafadhali LIKE page yetu Upate habari mpya kwenye Facebook yako.BOFYA LIKE

Powered By Kandili Yetu Team